Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, October 3, 2018

Ali Kiba Kaamua Kuufuta Youtube Wimbo Wake wa HELA Uliotoka Usiku wa Kuamkia Leo

juu
Video ya wimbo mpya wa Alikiba ‘Hela’ imefutwa katika mtandao wa YouTube.

Muimbaji huyo aliachia kazi hiyo usiku wa kuamkia Jumatano hii baada ya kukaa muda mrefu bila kuachia kazi hali ambayo iliwafanya mashabiki wake wachukizwe na kitendo hicho.

Hata hivyo baada ya kuachia wimbo huo, mashabiki walionekana kutoridhishwa na kazi hiyo huku wengine wakidai kwamba wimbo huo ameuridia wimbo wake wa zamani.

Mapema leo baada ya kuupachika wimbo mtandaoni, mashabiki walionekana kuuponda kwa madai amerudia wimbo wake wa zamani. Muda mfupi baadae wimbo huo ukafutwa Youtube
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )