Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, October 20, 2018

PICHA: Muonekano wa Ndani wa Gari Lililomteka Mo Dewji.........Watekaji Walitaka Kulichoma Moto

adv1
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema watu wanaodaiwa kumteka mfanyabiashara Mohammed Dewji, walitaka kulichoma moto gari lililotumika kumteka mfanyabiashara huyo mara baada ya kulitelekeza eneo la Gymkhana

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo, IGP Simon Sirro amesema kupitia jeshi hilo limefanikiwa kukamata silaha 4 ziliyokuwa na risasi nyingi na zimekutwa ndani ya gari hiyo ambayo inadaiwa kumteka mfanyabaishara Mo Dewji.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )