Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, October 27, 2018

Ray C ampa pole Wema Sepetu Sakata la Video Chafu

juu
Msanii Ray C ametia neno kile kinachoendelea kwa Wema Sepetu kwa sasa.

Msanii Ray C amemueleza Wema licha ya yote anayopitia bado anaamini anaweza kubadilika na kuwa kipenzi cha watu kama ilivyokuwa hapo mwanzo.kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

"Kiufupi Nakupenda mpaka leo Wema,Maisha ni Kama milima!wewe bado ni mdogo sana na una nafasi ya kuwa utakacho!pamoja na yanayoendelea sasa bado moyo wangu una imani na wewe kuwa utasimama tena zaidi ya juzi jana na leo na Utakua.Never give up!Dunia inaweza kukubadilikia kutoka kuwa kipenzi cha watu na kuwa Public enemy number one!Its normaL," amesema.

"Its ok!ila kumbuka Familia yako ndio kila kitu!Please usihuzunike ukajiona wewe ndo mkosaji dunia nzima maana kila binadamu ana majanga yake ni Mungu tu ndio mkamilifu ingawa sio sababu ya kutufanya kurudia makosa over and over again!Nakupenda na nina imani na wewe!Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na natamani kumuona Wema mpya," ameeleza Ray C.

Licha ya Wema Sepetu kuomba radhi  kufuatia kuvuja kwa video yake ya faragha mtandaoni, jana alifungiwa kutojihusisha na sanaa kwa kipindi kisichojulikana na Bodi ya Filamu.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )