Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, October 16, 2018

Uteuzi wa Viongozi Wapya Uliofanywa Na Rais Magufuli Leo Jumanne October 16

juu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mh. January Henry Msofe kuwa Mwenyekiti wa tume ya kurekebisha sheria.
 
Mbali na Mwenyekiti huyo mpya wa Tume hiyo, Rais pia amewateua Bw. Iddi Mandi na Bw. Julius Kalolo ambao wanakuwa Makamishna wa muda wa tume hiyo.

Katika hatua nyingine, Rais pia amemteua Bw. Paul Kimiti kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za Taifa (NARCO).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu,  Uteuzi huo uliotangazwa leo Oktoba 16, 2018 umeanza tangu Oktoba 14, 2018.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )