Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, January 16, 2019

Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara Ya Ujenzi, Uchukuzi Na Mawasiliano

juu
Kama mnavyokumbuka tarehe 31 Disemba 2018, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) ilitoa taarifa kwa umma kuwa, Sheria ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Vehicle Load Control Act, 2016) na Kanuni zake za mwaka 2017 itaanza kutumika rasmi nchini Tanzania kuanzia tarehe 01 Januari, 2019.

Wakati Sheria hii inaanza kutumika uwekaji wa mfumo wa upimaji wa magari katika mizani yote nchini haukuwa umekamilika. 

Hivyo, kusababisha mfumo unaotumika kuwa ni wa Sheria mbili (ya zamani na ya sasa). Hatua hii imesababisha mifumo miwili kutumika kwa wakati mmoja na hivyo kuleta mkanganyiko kwa umma.

Kwa mantiki hiyo na kwa kutambua umuhimu wa kutoa elimu kwa wadau hasa juu ya mabadiliko ya mifumo yetu pamoja na kukamilisha ufungaji wa mfumo mpya utaratibu wa sheria ya zamani utaendelee kutumika hadi tarehe 01 Machi, 2019.

Imetolewa na:
Arch. Elius A. Mwakalinga KATIBU MKUU – UJENZI
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )