Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, January 28, 2019

Wakuu Wa Mikoa Wakabidhiwa Awamu Ya Pili Ya Vitambulisho Vya Wafanya Biashara Ndogo Ndogo

juu
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi leo jumatatu ya Januari 28,2019 amekabidhi vitambulisho milioni moja na laki moja vya awamu ya pili kwa ajili ya wafanyabiashara wadogowadogo ambavyo viliasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Balozi Kijazi amekabidhi vitambulisho hivyo kwa wakuu wa mikoa yote nchini Ikulu jijini Dar es salaam na kuwataka wakuu wa mikoa hiyo kuhakikisha vitambulisho hivyo vinatolewa kwa wahusika na kwa wakati  na kuongeza kuwa tayari kuna taarifa za baadhi ya watumishi wa halmashauri ambao wanaviuza vitambulisho hivyo kwa zaidi ya bei elekezi iliyotolea na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na kuwataka wakuu hao wa mikoa kuwachukulia hatua za kinidhamu wale wore wanaokiuka agizo hilo.

Amewataka wakuu hao wa mikoa kusimamia kikamilifu zoezi hilo la ugawaji wa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo wadogo huku akitaja idadi ya vitambulisho ambavyo kila mkoa utakabidhiwa
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )