Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, February 23, 2019

BREAKING: Watumishi 9 Wafariki kwa Ajali Morogoro

juu
Watumishi tisa wa Halmashauri ya Ifakara wamefariki baada ya gari aina ya Land Cruiser walilokuwa wakisafiria kumshinda dereva na kutumbukia mtoni Wilayani Kilombero Mkoani Morogoro. 

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro  Wilbrod Mutafungwa amethibitisha kutokea kwa ajali ambapo amesema; "Leo Saa 11 jioni katika  Wilaya ya Kilombero gari lenye namba za usajili 994 Toyota Land Cruiser mali ya TAWA, gari ilikuwa inaenda Ifakara ilipofika daraja la Mto Kikwawila liliingia kwenye hilo daraja na kutumbukia Mtoni upande wa kushoto.

"Watu tisa wamefariki; wa kwanza ni Salome Lucas, Shaban Yusuph, Glory Steven, Ludaya Mwakalebela, Silvester Mwakalebela, Maria Buginja, Sheila Shitambuni, Hassan Kayunga, Msafiri Kerald, hawa ni Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara" Amesema RPC Morogoro
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )