Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, February 5, 2019

Bunge Larejea Tena Baada ya Taharuki Iliyowafanya Wambunge Wakimbie Asubuhi

juu
Baada ya kikao cha Bunge kuharishwa kutokana na taharuki iliyotokana na ving’ora kulia, Spika wa Bunge Job Ndugai amesema mpaka sasa hawafahamu chanzo cha tukio hilo.

Kabla ya kuahirishwa kwa kikao cha Bunge saa 5:03 asubuhi kilikuwa kikiongozwa na mwenyekiti wa Bunge, Najma Giga.

“Nawapeni pole. Hadi sasa hivi hatujajua chanzo tutakapojua tena baadaye tutaelezana sababu ya kulia kwa ving’ora,” amesema.

Amesema kama kuna maswali ya wabunge yamebaki watayafanyia utaratibu huku akiwapa pole wabunge na kwamba wataalamu wanaendelea kufanya uchunguzi.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )