Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, February 2, 2019

Huduma ya kisasa uchunguzi saratani ya matiti yaanza Hospitali ya Taifa Muhimbili, tawi la Mloganzila (MAMC)

Hospitali ya Taifa Muhimbili, tawi la Mloganzila (MAMC), imeanza kutoa huduma ya kisasa ya uchunguzi wa saratani ya matiti.

Kwa njia hiyo ya kisasa, wataalamu sasa wanao uwezo wa kuchukua sampuli ya kinyama (biopsy) mwilini pasipo kufanya upasuaji wa aina yoyote ile.

Mtaalamu wa Tiba Mionzi (Radiologist), Dk. Lulu Sakafu amesema hayo leo Februari 2, alipozungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo.

Amesema hiyo ni mara ya kwanza kwa huduma hiyo kuanza kutolewa hospitalini hapo.
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )