Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, February 9, 2019

Serikali yapendekeza kupunguza kodi ya pombe kali

juu
Serikali  imependekeza kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye pombe kali (spirit) inayotengenezwa kwa kutumia zabibu zinazozalishwa nchini Tanzania.

Serikali imewasilisha marekebisho ya Muswada wa Sheria Mbalimbali namba 2 wa mwaka 2019, ambapo chini Sheria ya Ushuru wa Bidhaa  imependekeza irekebishwe ili kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa ya pombe kali inayotengenezwa nchini kwa kutumia zabibu zinazozalishwa nchini.

Mwanasheria mkuu wa serikali Prof. Adeladus Kilangi akisoma muswada huo bungeni amesema unalenga kushusha Ushuru wa Vinywaji vya spiriti vinavotengenezwa na zabibu, kodi ya majengo na kodi ya zuio la madini.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )