Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, February 6, 2019

Serikali Yasema Haijanunua Kahawa kwa Wakulima Kama Ilivyonunua Korosho

Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba amesema kuwa Serikali haijanunua kahawa kutoka kwa wakulima kama ilivyo katika korosho.

Mgumba alikuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kuteuliwa (CCM) Abdallah Bulembo bungeni leo, Alhamisi Februari 6 mwaka 2019.

“Wakulima wana shida, kahawa yao iko katika maghala hawajalipwa hadi leo. Kwa nini Serikali isifanye kama ilivyofanya katika korosho?” Amehoji Bulembo.

Akijibu swali hilo, Mgumba amesema Serikali haijanunua kahawa ya wakulima na kwamba wakulima waliamua wenyewe kupitia vyama vyao vya ushirika kuuza kahawa yao mnadani Moshi.

Amesema kutokana na kuyumba kwa soko la dunia na kuongezeka kwa uzalishaji bei ya zao hilo imepungua.


chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )