Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, February 9, 2019

Serikali Yataka kodi ya Majengo kuwa Sh10,000 kwa majengo ya mijini na vijijini.

juu
Serikali imewasilisha marekebisho ya viwango vya kodi vya majengo ya kawaida kuwa Sh10,000  kwa majengo ya mijini na vijijini.

Marekebisho hayo yamewasilishwa chini ya marekebisho ya Sheria Mbalimbali namba 2 wa mwaka 2019, leo Februari 9, 2019 na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,  Profesa Adelardus Kilangi.

Profesa Kilangi amesema Serikali inapendekeza marekebisho ya Sheria ya Serikali za Mitaa ya utozaji wa Kodi ya Majengo lengo likiwa ni kiwango mfuto (flat rate) vya kodi ya majengo na kuiwezesha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwa mkusanyaji pekee wa kodi ya majengo.

“Viwango vinavyopendekezwa ni Sh20,000 kwa nyumba za ghorofa katika maeneo ya vijijini na Sh50,000 kwa kila sakafu kwa nyumba za ghorofa katika maeneo ya mjini,”amesema.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )