Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, March 29, 2019

Breaking News: Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Maombi ya Joshua Nassari Kupinga Kuvuliwa Ubunge

juu
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imetupilia mbali ombi la Joshua Nassari la kufungua kesi ya msingi ya kutengua uamuzi wa Spika Job Ndugai kumvua ubunge. 

Jaji Latifa Mansour ametoa uamuzi huo leo Ijumaa March 29,2019 akieleza kuwa Nassari kuvuliwa ubunge sio uamuzi wa Spika bali ni uamuzi wa kanuni za Bunge.

Mansour   ametumia kifungu cha 5 (4) kuwa Nassari alipaswa kupeleka malalamiko yake kwa Katibu wa bunge wala si kama alivyofanya.

Amesema kifungu kingine kilichombana Nassari  ni cha kanuni ya 146 (2) kwamba alijifukuzisha mwenyewe kwa kutohudhuria vikao vitatu mfululizo vya Bunge bila taarifa.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )