Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, March 18, 2019

BREAKING: Profesa Lipumba Ambwaga Maalim Seif Mahakamani

juu
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kupitia kwa Jaji Dk Benhajj Masoud Leo March 18,2019  imetoa hukumu na kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kushinda kesi kutokana na mvutano wa uongozi.

Jaji Masoud amesema kuwa msajili wa vyama vya siasa ana mamlaka ya kutoa msimamo na ushauri alioutoa kuhusu uhalali wa Profesa Lipumba. 


Amesema mamlaka ya msajili hayaishii tu katika kusajili vyama na kupokea mabadiliko ya viongozi na kwamba vinginevyo asingekuwa na mamlaka ya kuvifuta vyama.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )