Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, August 6, 2019

GST Yaendelea Kutoa Elimu Kwa Umma Na Wadau Wa Sekta Ya Madini Katika Wiki Ya Maonesho Ya Viwanda SADC

juu
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) , yaendelea kutoa elimu kwa wadau wa sekta ya madini nchini katika maonesho ya wiki ya viwanda yanayoendelea katika mkutano  mkuu wa 39 wa  Nchi za Jumuhiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
 
Moja ya elimu inayotolewa na GST ni juu ya kazi za utafiti wa jiosayansi kwa maana ya jiolojia , jiokemia , jiofikia , miamba na madini nchini ikiwemo madini ya viwandani , madini nakshi (Dimension Stone), elimu nyingine ni juu ya uwepo wa madini ya ujenzi nchini.
 
Sambamba na elimu hiyo GST  ipo na machapisho mbalimbali ya  vitabu vya utafiti wa jiosayansi kama vile kitabu cha Madini yapatikanayo Tanzania toleo la nne  kitabu hiki kinaelezea uwepo wa madini kuazia ngazi kijiji mpaka taifa.
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )