Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, January 31, 2020

PICHA: Aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye Awasili TAKUKURU Kuhojiwa

juu
Aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akiingia Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) jijini Dodoma, kwa ajili ya mahojiano. 

Andengenye anakuwa kiongozi wa tatu kuhojiwa kuhusiana na sakata la viongozi chini ya wizara hiyo, kusaini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa vya zimamoto na uokoaji vyenye thamani ya Euri 408 (sawa na Sh trilioni moja) kutoka kampuni moja nje ya nchi bila kufuata sheria. 

Wengine ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )