Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, January 10, 2020

Rais Magufuli Kuanza Ziara Ya Kikazi Visiwani Zanzibar leo

Rais Magufuli aliyekuwa mapumzikoni nyumbani kwake, Chato mkoani Geita amewasili jana Alhamisi Januari 9, 2020 jijini Dar es Salaam.

Mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na mkewe, Janeth, Rais Magufuli alisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika uwanja huo.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais- Ikulu ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema leo  Ijumaa Januari 10, 2020 Rais Magufuli ataanza ziara ya kikazi ya siku tano visiwani Zanzibar.
chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )