Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, January 28, 2020

Simba Watoa TAMKO Kuhusu Tuhuma Zilizotolewa na mchezaji Ramadhani Kabwili wa Yanga

juu
Uongozi wa Simba leo umetoa tamko rasmi kuhusu suala la mchezaji wa Yanga, Ramadhan Kabwili, kudai kwamba aliahidiwa kupewa gari aina ya Toyota IST na Viongozi wa Simba  endapo angekubali kujipatisha kadi ya tatu ya njano katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania, ukiwa ni mchezo mmoja kabla ya mechi ya Simba

Kabwili, aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kituo kimoja cha radio ambapo alidai kuwa alifuatwa na Simba ili afanye makusudi kupata kadi ya njano kwenye mechi yake dhidi ya JKT Tanzania ili asicheze mbele ya Simba.
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )