Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, January 31, 2020

Uingereza yajiondoa rasmi Umoja wa Ulaya leo

juu
Uingereza leo hatimaye inajitoa rasmi katika Umoja wa Ulaya. 

Hatua hiyo inakamilisha miaka mitatu na nusu tangu taifa hilo kupiga kura ya maoni ambapo asilimia 52 ya raia walipiga kura ya kutaka kujitoa katika umoja huo.

Uingereza ilijiunga kama mwanachama mnamo mwaka 1973. Ni mara ya kwanza kwa taifa la Ulaya kujitoa katika umoja huo, na wengi miongoni mwa wanachama wake wanaiangalaia siku ya leo kuwa ni ya kusikitisha.

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anatarajiwa kukutana na Baraza la Mawaziri mjini Sunderland. 

Johnson atalihutubia taifa kwa njia ya televisheni na kuwakumbusha Waingereza kuwa kujitoa katika Umoja wa Ulaya ni mwanzo mpya kwa taifa hilo.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )