Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, January 7, 2020

Waombolezaji wafariki katika mkanyagano Wakati wa Mazishi ya Jenerali Wa Iran Aliyeuawa na Marekani

juu
Karibu watu 35 wameripotiwa kufarika kufuatia kisa cha mkanyagano katika mazishi ya Qasem Soleimani, jenerali wa kikosi maalum cha jeshi la Iran alieuawa na Marekani wiki iliyopita.

Zaidi ya watu 40 pia wamejeruhiwa katika kisa hicho kilichotokea mjini Kerman, kwa mujibu wa ripoti hizo.

Qasem Soleimani anazikwa leo nyumbani kwake ambako mamilioni ya watu wamekusanyika  barabarani kumuaga.

Mauaji yake yameibua hofu ya kuzuka kwa mzozo kati ya Marekani na Iran.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )