Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, January 31, 2020

Zitto Kabwe Amjibu Spika Ndugai

Mbunge Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe amemjibu  Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyehoji sababu za yeye kuiandikia barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania inyimwe mkopo wa elimu..

Ndugai ametoa kauli hiyo leo Ijumaa   bungeni ambapo amesema  Zitto kuandika barua hiyo ni tofauti  za kisera, lakini kuzuia fedha za Benki ya Dunia ni kwenda mbali zaidi na haimsaidii chochote zaidi ya kuwakomoa wananchi Wanyonge.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Zitto ambaye yupo nchini Uingereza amesema, “hakuna tofauti ya kisera katika suala la watoto wa kike wanaopata ujauzito kuendelea na masomo. Ilani ya CCM iliahidi hilo, wananchi mwaka 2015, vyama vya Upinzani viliahidi hilo na wananchi 2/3 wanaunga mkono hilo.”
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )