Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, February 28, 2020

Breaking News: Benard Membe Atimuliwa CCM....Makamba Asamehewa, Kinana Apewa Karipio

juu
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ikiongozwa na Mwenyekiti na Rais wa Tanzania Dkt Magufuli katika kikao cha kawaida cha Kamati hiyo kilichoketi leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, DSM imeazimia kumfukuza uanachama Bernard Membe.

Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho Yusuf Makamba, amesamehewa kutokana na kuomba kusamehewa makosa aliyokuwa akidaiwa kuyatenda  ya kwenda kinyume na maadili ya chama hicho. 

Aidha, Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana,amepewa adhabu ya kalipio kali  kwa mujibu wa kanuni za uongozi na maadili ya chama hicho  na atakuwa kwenye uangalizi  kwa kipindi cha miezi 18.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )