Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani jana Ijumaa, Januari 31 2020 marufuku hiyo pia inamhusisha mke wa Makonda Bi Mary Felix Massenge.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Makonda anazuiwa kutokana na tuhuma za kushiriki kukandamiza haki za binadamu. Inafafanua kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu alioufanya jijini Dar es Salaam ni pamoja na kunyima watu haki ya kuishi, haki ya uhuru wa kujiamulia mambo na usalama wao.
Bado RC Makonda hajapatikana kuzungumzia tuhuma hizo
Bado RC Makonda hajapatikana kuzungumzia tuhuma hizo
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )