Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, February 4, 2020

Membe Aitwa CCM Kuhojiwa....‘Nitahudhuria Mapema Bila Kukosa’

juu
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe ameitwa kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.

Leo Jumanne Februari 4, 2020 katika wa mtandao wa kijamii wa Twitter uliotumwa na mtu mwenye jina kama la Membe umeeleza kuwa ameitwa kuhojiwa.

“Hatimaye jana jioni nimepokea barua ya kuitwa kwenye kikao cha kamati ndogo ya udhibiti na nidhamu jijini Dodoma.”

“Kikao kitafanyika Februari 6, 2020  saa 3 asubuhi kwenye jengo la White House. Nitahudhuria bila kukosa na bila kuchelewa! Stay tuned,” amesema Membe

Licha ya kutopatikana lakini Membe hutumia akaunti hiyo kueleza masuala mbalimbali, ikiwemo maendeleo ya kesi yake mahakama kuu.
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )