Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, February 19, 2020

Rapper wa Marekani Pop Smoke apigwa risasi nyumbani kwake na kufariki

juu
Msanii wa Hip hop wa nchini Marekani, Bashar Barakah Jackson maarufu Pop Smoke (20), amefariki baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana waliomvamia nyumbani kwake. 

Polisi nchini humo wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo, hadi sasa hakuna aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Rapa huyo ameuawa leo Jumatano Februari 19, 2020 katika mazingira ambayo yanayooenaka kama uvamizi akiwa nyumbani kwake mjini Hollywood Hills.

Pop Smoke amewahi kufanya kazi na Nick Minaj pamoja na Travis Scott na alikuwa anapewa nafasi ya ku fanya vizuri katika muziki wake.
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )