Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, March 17, 2020

TFF, Bodi ya Ligi Kuu Kukutana kesho kuangalia mustakabali wa ligi kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona

Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF, Wallace Karia ameeleza Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi kuu kuitisha kikao cha dharura kesho siku ya Jumatano ya Machi 18, 2020.

Kikao hicho kitakachoanza saa 3:00 asubuhi, kitafanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, City Center Dar es Salaam.

Ajenda kubwa katika kikao hicho ni kuangalia mustakabali wa ligi kutokana na mlipuko wa Virusi vya ugonjwa wa Corona ambao umeingia nchini.

chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )