Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, March 4, 2020

TFF Yapiga Marufuku Timu Kusalimiana Kwa Kushikana Mikono ili Kukabiliana na Tishio la Virusi Vya CORONA

juu
Shirikisho la Soka nchini (TFF) leo Machi 4, 2020, limesema utaratibu wa wachezaji kusalimiana kwa kushikana mikono kabla ya mechi hautatumika kuanzia leo kwenye mechi za Ligi Kuu na badala yake watasalimiana kwa ishara.

Uamuzi huo ni moja ya hatua za kujilinda dhidi ya maambukizi ya ugonjwa unaotokana na virusi vya Corona
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )