Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, March 6, 2020

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Yampongeza Rais Magufuli Kwa Kukutana na Wapinzani

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kuendeleza utaratibu wa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na makundi mengine kila atakapopata nafasi.

Kauli hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tangu, Rais Magufuli kukutana na viongozi wa vyama vitatu vya upinzani na kufanya nao mazungumzo Ikulu, Dar es Salaam.

Tume hiyo imeeleza hayo leo Ijumaa Machi 6, 2020 katika tpitia taarifa yao kwa vyombo vya habari iliyotolewa na kusainiwa na mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu.
chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )