Baraza la sanaa Taifa (Basata) limemuandikia barua mwimbaji maarufu nchini, Godfrey Tumaini 'Dudubaya' kumuita ili kwenda kujieleza kutokana na kutumia lugha isiyo ya staha kwenye mitandao ya kijamii.
Dudubaya anatakiwa kuripoti keshokutwa Jumanne kwenye ofisi za makao makuu ya Baraza hilo.
Mwimbaji huyo ameiposti barua hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram na kukubali wito huo siku ya Jumanne.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )