Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, April 25, 2020

Marufuku ya Kutotoka Nje Usiku Nchini Kenya Yaongezwa Kwa Siku 21......Wagonjwa wa Corona nchini humo leo Wamefika 343

juu
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameongeza muda wa marufuku ya watu kusafiri na kuingia au kutoka katika mji wa Nairobi na miji mingine minne kwa muda wa siku 21 ili kuendelea kukabiliana na Virusi vya Corona

Marufuku ya kutoka nje nyakati za usiku kwa taifa zima pia imeongezwa kwa siku 21.
 
Kenyatta  ametangaza kuwa Kenya sasa ina visa 343 baada ya wengine 7 kuongezeka leo  na wagonjwa waliopona ni 98
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )