Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepokea msaada wa mashine za kupuliza dawa mwilini ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa kampuni ya Taifa Gas.
Mashine hizo zimepokelewa na Spika wa Bunge Job Ndugai, Bungeni jijini Dodoma leo.
Mashine hizo zimepokelewa na Spika wa Bunge Job Ndugai, Bungeni jijini Dodoma leo.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )