Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, April 13, 2020

Watu 100 wafariki dunia Kwa Corona ndani ya saa 24 nchini Uturuki

juu
Karibu vifo vipya 100  vimeripotiwa ndani ya masaa 24 siku ya Jumapili nchini Uturuki, na kusababisha jumla ya vifo vinavyohusiana na ugonjwa wa Covid19 kufikia hadi 1,198 nchini, Waziri wa Afya wa Uturuki, Fahrettin Koca ametangaza.

Mbali na vifo vipya 97, kesi 4,789 mpya za maaambukizi mapya za virusi hivi, ambayo ilitokea nchini China mwezi Desemba kabla ya kusambaa hadi nchi mbalimbali duniani, zilibainika ndani ya siku moja, na kuifanya idadi ya wagonjwa kufikia 56,956 tangu kuanza kwa janaga hilo

Katika juhudi za kupambana na virusi vya Corona, Uturuki kwa mara ya kwanza ilitangaza marufuku ya kutoka nje mwishoni mwa juma lililopita
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )