Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, April 13, 2020

Wenye Virusi Vya Corona Nchini Kenya Wafika 208...40 Wamepona,9 Wamefariki

juu
Watu wengine 11 wamegundulika kuwa na virusi vya Corona nchini Kenya na kufanya idadi ya maambukizo kufikia watu 208.

Mtu mmoja pia amethibitishwa kufariki ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya idadi ya vifo vinavyotokana na virusi hivyo kufikia watu tisa.

Kwa mujibu wa waziri Kagwe wagonjwa wapya 11 wote ni raia wa Kenya kati yaowanawake sita na wanume watano.

Wanne kati yao walikuwa wamesafiri kutoka Falme za Kiarabu (UAE) huku waliosalia wakiwa hawana historia ya kusafiri. 

Pia takriban wagonjwa 15 waliokuwa wakiugua virusi vya corona nchini humo wamepona katika kipindi cha saa 24 zilizopita  na kufanya idadi ya waliopona kufika 40.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )