Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe ameachiwa huru na Mahakama ya Kisutu kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
Katika kesi hiyo ya uchochezi, Zitto Kabwe alikuwa anatuhumiwa kutoa maneno ya uchochezi yenye kuleta hisia ya hofu na chuki akiwa katika mkutano na waandishi wa habari, uliofanyika katika makao makuu ya ofisi ya Chama cha ACT –Wazalendo Oktoba 28, 2018

Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )