Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, May 13, 2020

Wagonjwa wa Corona Nchini Kenya Wafika 737 Baada ya Wengine 22 Kuongezeka

juu
Wagonjwa wa Corona nchini Kenya Wamefika 737  baada ya wagonjwa wapya  22 kuripotiwa ndani ya masaa 24 yaliyopita.

Idadi hiyo ni kati ya sampuli 1,516 zilizopimwa katika kipindi cha saa 24 zilizopita. Amesema kwamba kufikia sasa serikali ya kenya imefanikiwa kuwapima watu 35, 432 .

21 kati ya wagonjwa hao ni Wakenya huku mmoja akiwa raia wa Uganda.

Katika mkutano wake na wanahabari katibu tawala wa waziri wa Afya Rashid Aman amesema   kwamba wagonjwa wanne wamefariki kutokana na virusi hivyo, watatu kutoka Nairobi na mmoja kutoka Mombasa.

Hatua hiyo inaongeza idadi ya waliofariki kutokana na Covid-19 kufikia watu 40.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )