Kenya imerekodi visa vingine 23 vya maambukizi ya virusi vya corona na kufanya jumla ya walioambukizwa kufikia 781
Wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Ijumaa Mei 15, katibu msimamizi wa maswala ya Afya nchini Kenya Rashid Aman amesema maambukizi hayo mapya yametokana na sampuli 2,100 zilizofanyiwa vipimo kwa saa 24 zilizopita.
Amesema Vifo vimefika 45, Waliopona 284
Amesema Vifo vimefika 45, Waliopona 284
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )