Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, May 20, 2020

Wagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 1029

juu
Visa vya maambukizi ya virusi vya Corona imefikia zaidi ya 1000 nchini Kenya, baada ya visa vipya 66 kuripotiwa katika kipindi cha saa 24 zilizopita. Idadi ya visa vya maambukizi inaendelea kupanda kila kukicha nchini humo.

Katika mkutano na waandishi wa habari Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe amesema kuwa raia wa Kenya 62 na raia wawili wa kigeni ni miongoni mwa watu walioambukizwa.
 
Kufikia sasa ugonjwa wa Covid-19 umeuwa watu 50 nchini Kenya na wagonjwa 366 wamepona.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )