Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, May 21, 2020

Wagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 1109 Baada ya Wengine 80 Kuongezeka Leo

juu
Jumla ya watu waliopata virusi vya coroni nchini Kenya imefikia 1,109, baada ya wagonjwa wapya 80 kubainika na maambukizi, imeripoti Wizara ya Afya nchini humo. 

Katika tangazo la kila siku kuhusu virusi vya Covid-19, Waziri wa Afya nchini humo Bwana Mutahi Kagwe amesema wagonjwa hao 80 wamebainika baada ya kupimwa kwa sampuli 3,102 

Waliopona wamefikia 375 na vifo vimeendelea kusalia 50.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )