Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, May 1, 2020

Wenye Virusi Vya Corona Nchini Kenya Wafika 411....Ni Baada ya Wengin 15 Kuongezeka

juu
Watu 15 zaidi wameambukizwa ugonjwa wa corona  nchini Kenya ndani ya masaa 24.

Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesema leo Ijumaa, Mei 1, wakati wa kikao na wanahabari 

Idadi hiyo sasa inafikisha watu walioambukizwa virusi hivyo nchini Kenya kuwa 411. 

Aidha watu wanne pia wamefariki na kufikisha idadi ya waliofariki  kuwa 21.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )