Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, June 4, 2020

Idadi ya wagonjwa wa Corona Kenya yafikia 2340, waliopona 592

juu
Wizara ya Afya nchini Kenya kwa mara nyingine imethibitisha idadi kubwa ya maambukizi 124 kwa muda wa saa 24 na kufikisha walioambukizwa kuwa 2340

Wizara hiyo imeeleza kuwa wagonjwa hao wametambuliwa baada ya sampuli 2640 kuchunguzwa.

Vilevile Kenya imesajili idadi ya wastani ya  wagonjwa waliopona kwa siku moja baada ya watu 39 kuondoka hospitalini na kufikisha 592 waliopona kufikia sasa,hata hivyo idadi ya waliofariki imefikia 78 baada ya watu 4 zaidi kufariki.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )