Wabunge watatu wa Viti Maalumu Kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA wametangaza kuachana na chama hicho na kuomba kujiunga na CCM
Wabunge hao wametangaza uamuzi huo leo Jumatatu June 15, 2020 ndani ya Bunge Jijini Dodoma
Wabunge hao ni Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )