Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, June 11, 2020

Watu 8 Wafariki Kwa Ajali Ya Lori, Hiace na Trekta Jijini Mwanza

juu
Watu nane wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya lori kugonga trekta na baadae kugongana na basi dogo aina ya hiace katika eneo la Ihayabuyaga kata ya Bukandwe wilaya ya Magu mkoani Mwanza.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza, –  Jummanne Muliro ameeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa lori aliyefahamika kwa jina la Boniface Tuju, ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi.

Kufuatia ajali hiyo Kamanda Muliro ametoa wito kwa madereva mkoani Mwanza kuendelea kuchukua tahadhari na kuzingatia alama za usalama barabarani ili kuepuka ajali za mara kwa mara.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )