Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, July 21, 2020

David Kafulila Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Kigoma Kusini ....Mshindi ni Hasna Mwilima

juu
Hasna Mwilima amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM kwa kupata kura 273 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Nashon Bidyanguze aliyepata kura 143.

Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila amepata kura 64.
_________
Matokeo
 
1.Hasna Mwilima: 273
2.Nashon Bidyanguze: 143
3.January Kizito: 117
4.David Kafulila: 64
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )