Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, July 20, 2020

Eric Shigongo, Charles Tizeba Ngoma Droo Kura za Maoni CCM Jimbo la Buchosa

juu
Watia nia wawili katika Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric James Shigongo na aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Charles Tizeba, wamefungana idadi ya kura za maoni ambapo kila mmoja amepata kura 354.

Zoezi la kupiga kura limefanyika leo Jumatatu, Julai 20, 2020 katika eneo la Nyehunge lililopo Halmashauri ya Buchosa huku kukishuhudiwa jumla ya wajumbe 755 wakipiga kura kwa wagombea 34 ambapo wawili hao wameongoza.

1. Adrian Makoge Tizeba – 00

2. Abel Dulla Mang’olo – 01

3.Atranus Mkago Method – 01

4.Benedicto Bahati Bagiliye – 00

5.Charles Luchagula Massa – 01

6. Cosmas Kulwa Mataba – 01

7. Dkt. Charles Tizeba – 354

8. Dkt. Edwin Chitage Manyama- 01

9. Dkt. Michael Laurent Bukwimba – 02

10. Dkt. Masumbuko Philipo Madebele -00

11. Erick John Gagala – 05

12. Eric Shigongo James – 354

13. Eng. Charles Gabriel Nilla- 02

14. Eng Nandi Mathias James – 01

15. Festo Barusha Stanislaus – 00

16. Joshua Kulwa Shindika – 00

17. Jowa Eston Kasika – 03

18. Juvenary Jonas Mugabuzi – 01

19. Kawa Deogratias Kafuru – 00

20. Kalebe Bandoma Luteli – 00

21. Laurent Majura Nyakai – 02

22. Leonard Mandago Masai -03

23. Matei Mabele Masaga – 01

24. Emanuel Magumba Makala – 01

25. Method Julius Gwaleba – 01

26. Moses Masamaki Fransis – 00

27. Muziba Biyengo Masaga – 01

28. Ng’wesheni Erick Michael – 00

29. Peter Tumaini Longola – 05

30.Paul Samweli Mayunga – 02

31. Sospeter Radio Maguya – 00

32. Shamimu Mohammed Aboubakar – 02

33. Tito Peter Cyprian – oo

34. Yohane Magungu Magesa – 01
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )