Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, July 27, 2020

PICHA: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (bara) Tundu Lissu alivyowasili Tanzania leo na kupokelewa Uwanja wa Ndege Dar es salaam.

juu
Makamu Mwenyekiti wa  Chadema- Bara Tundu Antiphas Lissu,  amewasilia nchini  leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020.

Lissu amewasilia nchini Tanzania akitokea Ubelgiji kwa ndege ya Shairika la Ethiopia na kupokelewa na viongozi wa Chadema, ndugu, jamaa na marafiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )