Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, July 3, 2020

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro awonya wanaojipanga kufanya funjo uchaguzi mkuu.

juu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaonya watu wanaotegemea kufanya fujo kipindi cha uchaguzi mkuu na kusema watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Akizungumza na maofisa wa Jeshi hilo jijini Arusha IGP Simon Sirro amewahakikishia wananchi kuwa uchaguzi utakwenda vizuri kama ulivyopangwa na jeshi hilo litaendelea kutenda haki.

Amesema askari wa Jeshi hilo wamepata mafunzo ya kutosha yatakayowawezesha kukabiliana na matishio mbalimbali ikiwemo uhalifu na wahalifu pamoja na mbinu nyingine za kuwashughulikia wanaovunja sheria na kuwataka askari wa jeshi hilo kuendelea kutoa elimu kwa wananchi.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )