Fredrick Lowassa ambaye ni Mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua fomu ya kugombea ubunge Monduli, mkoani Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) .
Fredrick amechukua fomu hiyo leo Jumanne tarehe 14 Julai 2020, katika Ofisi za CCM wilayani Monduli, mkoani Arusha na kukabidhiwa na Katibu wa chama hicho Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo.
Katibu
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo, leo
Jumanne July 14,2020 amemkabidhi Fredrick Lowassa fomu ya kuomba ridhaa
ya Chama hicho ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Monduli. Fredrick ni Mtoto
wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )