Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, July 11, 2020

Rais Magufuli amteua Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea mwenza Urais 2020

juu
Rais Magufuli amemchagua Samia Suluhu Hassan, kuwa mgombea mweza katika Uchaguzi wa Urais wa Tanzania, Oktoba 2020.

 Rais Magufuli amechukua hatua hiyo baada ya kuthibitishwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania, kwa asilimia 100 leo Jumamosi tarehe 11 Julai 2020.


“Nilipomteua Mama Samia kuwa Makamu wa Rais mwaka 2015 sikuujua utendaji kazi wake vizuri lakini ni mchapakazi, anajituma pia ni mzuri, Wasukuma tunapenda weupe, ukiwa na Msaidizi mweupe hata ukiwa na stress zinaisha, nimeamua awe tena Mgombea mwenza wangu

“Kwa kipindi nilichofanya kazi na Mama Samia nimejifunza mambo mengi sana, kupitia Mama Samia nawahikikishia nitakuwa mtetezi mzuri wa Wanawake, Mama Samia nikimtuma popote hakatai kama ilivyo nyie akina Mama mkitumwa hamkatai, nampa tena Ugombea mwenza-Amesema Rais Magufuli
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )