Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, July 21, 2020

Suleiman Nchambi Aibuka Kidedea Kura za Maoni jimbo la Kishapu

juu
Zoezi la kuhesabu kura za maoni jimbo la Kishapu limekamilika, ambapo Suleiman Nchambi amepata kura 544, akifuatiwa na Kishiwa Francis Kapale kura 54 na Boniphace Butondo kura 40.

Jumla ya Wajumbe waliopiga kura ni 882 na kura zilizoharibika 2
 
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )