Meneja Bidhaa za Intaneti-Tigo Mkumbo Myonga akizungumza na waandishi wa habari (
hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo
Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB
78 kwa mwaka mzima.kushoto kwake ni Meneja mawasiliano kutoka kampuni
ya Tecno Erick Mkomoye mapema leo katika viwanja vya maonesho ya
SabaSaba
Meneja
mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa zinduzi wa simu Mpya ya
TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa
za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima.
Meneja
mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu Mpya ya
TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupatau ofa
za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima.
Mwandishi
wa habari wa TVE Ellen Manyangu akipokea Zawadi ya Simu Kutoka kwa
Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick Mkomoye mara baada ya
uzinduzi wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua
kwa bei ya laki 333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima.Anayeshuhudia ni Meneja Bidhaa za Intaneti-Tigo Mkumbo Myonga .
Waandishi
wakifurahia Zawadi zao kutoka Tigo mara baada ya uzinduzi wa uzinduzi
wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki
333,000 na kupata ofa za kifurushi cha GB 78 kwa mwaka mzima .
Kampuni
ya mawasiliano ya tigo imewataka wananchi kutumia nafasi ya uwepo wa
maonesho ya kibiashara ya 44 ya Dare salaamu sabasaba kwa ajili ya
kufanya manunuzi ya vifaa vya mawasiliano vyenye ubora kufuatia maonesho
hayo kuhusisha kampuni za mawasilianobza simu ambazoZinaleta vifaa
vyenye ubora
Akizungumza
leo jijini Dare salaamu Meneja wa bidhaa za intaneti kutoka tigo mkumba
myonga amesema katika maonesho hayo wameingia makubaliano na baadhi ya
kampuni za uuzaji vifaa vya simu ambazo zina sifa na ubora kwa matumizi
ya watanzania.
Kwa
upande wake Meneja mawasiliano kutoka kampuni ya Tecno Erick mkomoye
ameeleza kuwa hivi Sasa Watanzania wanahitaji teknolojia za Hali ya juu
kwenye simu zao wanazotumia ili kuendeleza uchumi wa Kati uliofikiwa na
kuifanya endelevu na kwa kutambua hilo wameamua kuja na simu aina ya
Tecno spark 5 yenye thamani sawa na mahitaji ya watumishi.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )